Wateja wa Aitel Tanzania wakipatiwa huduma katika ofisi ya Airet Tanzania iliyopo Moroko jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa pili kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake anayeshuhudia ni Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa Mteja Deogratius Hugo.Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa pili kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake anayeshuhudia ni Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa Mteja Deogratius Hugo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...