Watoto waliofika katika tamasha hilo ambapo zaidi ya watoto 300 walishiriki kutoka sehemu mbalimbali jijini Arusha.
.Chef Tom akiwa anaongelea juu ya tamasha hilo na vyombo vya habari ambapo alisema kuwa jamii imesahau kwa kiasi kikubwa watoto wanaoishi katika vituo vya kulelea watoto yatima pamoja na walemavu
Kushoto Mkurugenzi wa Bearfoot entainment Dorothy Mustapha akiwa anawakabidhi msaada wasimamizi wa vituo vya watoto yatima
Picha ikimuonyesha msemaji wa World Chef day Chef Method Mrosso akiwa anawakatia keki watoto wanaoishi katika mazingira magumu,mwishoni mwa wiki jijini Arusha katika hotel ya Mt.Meru siku ambayo chama cha wapishi duniani hujutolea kwa kuwapikia na kula pamoja
.Baadhi ya wapishi wakiwa katika picha ya pamoja .(Picha zote na Pamela Mollel wa jamiiblog.co.tz).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...