Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Msataafu Issa Machibya (wa pili kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) wakipita kwa pamoja na Watendaji mbali mbali katika Daraja la Kikwete.

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Msataafu Issa Machibya (kulia) pamoja na Watendaji mbali mbali wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi mkoani Kigoma.
Sehemu ya barabara pamoja na Daraja la Kikwete kama inavyoonekana hivi sasa baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.
NILIPOKUWA KIGOMA MIAKA YA 2007 KUNA JAMAA ALISEMA AJUAVYO YEYE LAMI HAIWEZI KUFIKA KIGOMA NA DARAJA HILO HALIWEZI KUJENGWA. NA KAMA LIKIJENGWA THEN ITAKUWA NI DALILI YA MPINGA KRISTO KUJA NA ITAKUWA MWISHO WA DUNIA. INASIKITISHA KAMA KUNA IMANI ZA NAMNA HIVYO. NGOJA SASA TUONE HUO MWISHO WA DUNIA. THANKS GOD MUNGU AMESAIDIA HADI DARAJA LIPO, NAFIKIRI KIGOMA ITAINUKA ZAIDI NA ZAIDI MAANA HADI SASA IKO JUU
ReplyDeleteKatika hili watu wa Kigoma hawatamsahau Kabisa Kikwete, watangulizi wengi walisema sana kuwa watajenga Daraja hili, lakini awamu zote zilipita na ujenzi haukaufanyika. Kikwete alisema katika Kampeni zake na ametimiza.
ReplyDeleteHizi barabara zina gharama ni balaa,tuzitunze jamani,tuzingatie uzito ulioruhusiwa tu.Na nyie rafiki zangu wenye tabia ya kuharibu/kung'oa alama za barabarani tabia hiyo ikome mara 1.
ReplyDeleteDavid V
Serikali inajitahidi sana katika ujenzi wa barabara, watendaji wahakikishe jitihada hizi zina enziwa kwa kuhakikisha ubora wa barabara unazingatiwa wakati wa ujenzi na si 'funika kombe mwanaharamu apite'
ReplyDeleteVilevile serikali katika kulinda hizi barabara ihakikishe inaweka nguvu katika kufufua reli ya kati ili kuzilinda barabara kwa kupunguza idadi ya mizigo inayosafirishwa kupitia barabara maana kwakweli barabara zinazidiwa ni kitu ambacho kila mwenye akili timamu anaona ni jinsi gani magari ya mizigo yanachakaza barabra na pia kusababisha ajali nyingi barabarani pamoja na misongamano ya magari.
Kazi nzuri ya kuboresha miundo mbinu tuitunze vizazi vijavyo wakute barabara hizi zikiwekwa katika viwango vizuri.
ReplyDeleteNapiga vigelegele vya kuwasifu waliofanya miujiza hii.The land around that area is very rich and could be turned into a major agricultural area now that there is reliable transportation for people and goods.Napenda kuota lakini ningependa kuundwa kwa MALAGARASSI VALLEY DEVELOPMENT COOPERATION na ipewe mitaji na wataalam ili iwainue wananchi "from darkness onto light"
ReplyDeleteHongera mheshimiwa, Mungu akuzidishie
KIKWETE juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteNadhani hata sisi Miundo mbinu tunaweza kujipanga kivyetu kama jitihada hii ya Muujiza huu ilivyofanyika badala ya kuingia mkenge kwenye kundi la Maraisi wa Ujambazi wa Kivita akina K-3 na AFRIKA YA MASHARIKI yao ya mashaka isiyoisha Vikao vya siri na kututenga Tanzania na Raisi wetu Jakaya Kikwete.
Pana Mwanauchumi mmoja ktk Gazeti la HABARILEO la leo ameshauri baada ya Kutengwa na wenzetu ktk EAC tutazame Ushirikiano na nchi zingine zenye Tija na za kuaminika kama Congo-DRC, Msumbiji, Comoro, Zambia na Angola ambazo ni tajiri sana kuliko Rwanda, Uganda na Kenya ambao wana pumulia mashine na wenye mipango ya siri kibindoni dhidi yetu Tanzania.
Kikwete oyeeeeeeee!
Tanzania oyeeeeeeee!
I salute jk...I salute magufuli..for making a dream into reality..mnyonge.mnyongeni ila haki yake mpeni...MCC inakuja soon ...with a focus on...electrification and roads development in rural areas....
ReplyDelete