Kamishna Msaidizi wa Madini, Hamis Komba akitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya ya Namtumbo  Bw. Abdula Lutavi juu ya lengo la Wizara ya Nishati na Madini la kutoa elimu ya urani katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.
 Kamishna Msaidizi wa Madini, Hamis Komba ( wa kwanza kulia) akiwa na viongozi mbalimbali waliohudhuria warsha kuhusu elimu ya urani kwa wananchi wa wilaya ya Namtumbo. Kushoto kwa Kamishna ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Abdula Lutavi.
Wananchi wa wilaya ya Namtumbo wakisikiliza moja ya mada iliyokuwa ikitolewa katika warsha hiyo
 Wananchi wakipita kuangalia sampuli ya madini ya Urani. Sampuli hiyo ililetwa kwenye warsha hiyo ili kuwaonesha kwa vitendo wananchi kuwa mionzi ya madini hayo yakiwa ghafi, haina madhara kwa afya za wananchi.
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Abdula Lutavi ( wa pili kutoka kulia) akiongea wakati wa warsha ya elimu kuhusu madini ya Urani. Wa kwanza kulia ni Kamishna Msaidizi wa Madini Eng.Hamis Komba, Wa kwanza kutoka kushoto ni Brigedia Jenerali Mimmy Mrisho Abdallah na wa pili kutoka kushoto ni Afisa Mwandamizi Udhibiti Reli (SUMATRA),  Eng. John Ngaraguza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...