Taarifa ya Habari Kutoka ITV: Watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za moto wameuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya watu hao kujaribu kuwakimbia askari polisi katika mtaa wa sikukuu- Ilala jijini Dar es salaam.
Home
Unlabelled
Habari Kutoka ITV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...