Meneja Mkuu Kitengo cha Uhusiano wa NBC, William Kallaghe (kulia) akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio (kaikati) wakati wa hafla hiyo. NBC imesema inathamini mchango mkubwa unaotoka kwa wadau na wanachama wa PPF kuchangia maendeleo ya benki hiyo. Katikati ni Mkuu wa Hazina wa NBC , Pius Tibazarwa.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Dkt. Aggrey Mlimka (Katikati), akisalimiana na Meneja Mkuu Kitengo cha Uhusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (Kushoto), katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa wajumbe waliokuwa wakishiriki Mkutano wa 23 wa Mwaka wa wanachama na wadau wa PPF jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu wa Hazina NBC, Pius Tibazarwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...