Marehemu Bi Martha Shani (1976-2013).

KAMATI YA MAZISHI INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 26 OCTOBER 2013 KUANZIA SAA TISA MCHANA,KUTAKUWA NA HARAMBEE  (FUNDRAISING)  KWA AJILI YA KUCHANGIA FEDHA ZA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU MARTHA SHANI NA FAMILIA YAKE KUELEKEA NYUMBANI TANZANIA.

HARAMBEE HIYO ITAFANYIKA
3621 CAMPUS DRIVE
COLLEGE PARK,MD,20740

KUFIKA KWAKO NDIYO MAFANIKIO YAKUWEZESHA KUUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU KWENDA NYUMBANI TANZANIA KWA AJILI YA MAPUMZIKO YA MILELE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. JAMANI TUJIUNGE NA NSSF WESTAD SCHEME NA KUTAKUWA HAKUNA MAMBO YA KUCHANGISHANA KWENYE DHARURA KAMA HIZI.

    ReplyDelete
  2. Watanzania hatuna tatizo la kumsafirisha mtanzania mwenzetu anayefia hapa DMV. Tutachanga na wiki ijayo ndugu yetu, mdogo wetu, dada yetu na mtanzania mwenzetu atasafirishwa kurudi nyumbani pamoja na familia yake.

    ReplyDelete
  3. KUCHANGA TUCHANGE SIYE, MALALAMISHI ATOE MWINGINE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...