Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. jakaya wenzentu wana time limit ya kuuza ges kama saud miaka 25yrs wengine 30yrs je tz limit ni miaka mingapi tangia waaze kuuza ges au mafuta je mkuu tuomba jib

    ReplyDelete
  2. nilivyomwelewa jakaya ni kwamba sisi hatuna time limit. badala yake, wawekezaji wakisharudisha mtaji wao waliowekeza tangua kuaza utafiti, ndipo sasa wao wanaweza kuingia mkataba na serikali kupitia tpdc ili watanzania sasa waweze kunufaika. ukomo kwa sasa sio agenda. sema changamoto yake ni jinsi ya kujua kama lini wawekezaji wata-declare kuwa wamesharudisha mtaji wao! tafakari.

    ReplyDelete
  3. Mh. Rais kuna haja ya msingi Sera na sheria ya mafuta na gesi iwepo kumpatia haki Mtanzania kumiliki ardhi na madini yaliyo chini ya ardhi anayomiliki kwa hati ya kiwanja/kitalu.

    Mtanzania huyo mwenye hati miliki ya kiwanja/kitalu chenye mafuta anaweza kuwa halmashauri ya wilaya, mji-mdogo, kijiji au hata mtanzania mtu binafsi.

    Kwa hiyo kutokana na mtanzania kuwa na hati miliki ya kiwanja/kitalu unakuwa ndiyo mtaji wa Mtanzania/TPDC kuingia ubia (partnership) na mwekezaji wa nje mwenye mtaji wa fedha na utaalamu.

    Hiyo ubia/shareholders Mtanzania/mwekezaji wa nje wanakuwa ktk uhusiano wa win-win situation au kwa Kiswahili 'Ukitaka kula lazima uliwe' yaani na sisi tupate ulaji pia wenye manufaa kulingana na makubaliano.

    Mdau
    Mtanzania

    ReplyDelete
  4. Mh Raisi tunashukuru kwa juhudi zako za kulinda masilahi ya watanzanzania.Tunaona jinsi gani uwazi unavyowaweka huru.Nadhani serikali inapokuwa clear kwa wananchi wao mnakuwa na sauti kwa umma.

    ReplyDelete
  5. Si haki kumuachia mwekezaji alipe ghalama zake kwanza ndio sisi tupate. Mwekezaji hakishaanza kuhuza tu awekewe kodi ya mahuzo kwani anayelipa kodi sio mwelezaji ni mnunuzi. Pia mwekezaji asichukue asilimia mia moja hadi arudishe ghalama. Yeye achukue 75% na sisi 25%.akimaliza kulipa ghalama zake sisi 75% na yeye 25% na kodi yetu iwe 10% kwani mlipa kodi ni mnunuzi sio mwekezaji.

    ReplyDelete
  6. Mwekezaji achukue 75% na na sisi 25% mpaka atakapomaliza kulipa ghalama zake.halafu sisi 75% na 25% baada ya kumaliza kurudisha ghalama zake.hii ni muhimu sana kwani hatujuhi nini kitatokea miaka ya mbele.pia kuanzia mwanzo mwkezaji hatozwe kodi ya alimia 5,kwani anayelipa kodi sio mwekezaji ni mnunuzi wa hiyo gesi.

    ReplyDelete
  7. Sijapata picha kamili hapa na nina maswali mengi kwa sababu sijarizika na huu utaratibu wa 75% kwa 25%. Naomba nieleweke kwanza, kuwa sina maana ya kupinga serikali, uenda serikali iko sahihi lakini Rais hajaeleze kwa undani tu. Ninaachotaka nijue ni kama kweli mgao huu unatupa manufaa muafaka. Tukumbuke kuwa kampuni inayochimba madini ni entity(kikundi cha watu) sisi ni nchi yenye watu milioni 45. Je, ni kweli kwa ulinganifu huo hatupunjiki jamani? Na hiyo 25% watachukua mpaka lini? Kama mpaka mafuta yaishe basi sio siri tumepunjika. - Kilakshari

    ReplyDelete
  8. RAIS KAPIGA BONGE LA DONGO KWA WAANDISHI HAHAHAHAHAHAHAHAHA

    ReplyDelete
  9. Watanzania kibao wanahela za kutosha ngoja zitto arudi tutawajua tu.....

    ReplyDelete
  10. Mh.Rais tusiwe kama Libya kumuua rais wao tuilinde mafuta na gesi kwa faida ya wananci wote na uchumi wa nchi kukua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...