Mwakilishi  wa Voda  Com mikoa ya nyanda  za  juu  kusini kati na mjumbe  wa  bodi ya wakurugenzi  wa  jukwaa la wahariri nchini Tanzania Masoud Sanani (kushoto)  wakikabidhi msaada  wa chakula na  vitu  mbali mbali  kwa  mkuu wa  kituo cha yatima  cha Huruma  Center mjini Iringa  Bi Costansia Chilewa ,msaada uliotolewa  jukwaaa la  wahariri kwa  ufadhili  wa Voda Com Tanzania


 Mwakilishi  wa Voda  Com akimkabidhi  msaada  mkuu wa  kituo cha yatima  cha Huruma  Center huku mwakilishi wa jukwaa la  wahariri Bw Masoud Sanani akishuhudia


 Baadhi ya  wahariri  nchini Tanzania na wafanyakazi  wa Voda  Com wakiwa katika  picha ya pamoja na baadhi ya  watoto yatima  wa  kituo cha Huruma Center  Iringa baada ya  kuwakabidhi  misaada mbali mbali iliyotolewa na jukwaa la  wahariri kwa ufadhili wa Vodacom Tanzania.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...