Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mafunzo kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara .
Mmoja kati ya washiriki, Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimajanro Dtk Faisal Issa akiongea kuhusu mafunzo hayo, na kutoa shukrani.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...