Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya mazungumzo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya mazungumzo. 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Rekebisho dogo kwa habari hii, Addis Ababa sio nchi. Ethiopia ndio jina la nchi, na Addis Ababa ni mji mkuu.

    Asante,
    Mdau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...