Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa AICC mjini Arusha leo 20 Octoba 2013.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir kificho kabla ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC leo Octoba 20, 2013 katika ukumbi wa A I C C mjini Arusha..
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbles Lema nje ya ukumbi wa mikutano wa A I C C Arusha, Baada ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa A I C C mjini Arusha leo 20 Octoba 2013. Kushoto Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir kificho kabla ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC leo Octoba 20, 2013 katika ukumbi wa A I C C mjini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia vikundi vya sanaa vya ngoma za aina mbalimbali alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa mikutano A I C C mjini Arusha kwa ajili ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC leo Octoba 20, 2013.
(Picha na OMR)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hawa wabunge wawili wa arusha-chadema kwa kweli hakuna wanachotufanyia kwenye majimbo zaidi ya kuvaa suti, kuuza sura, kubwabwaja, vikao visivyokwisha, ugomvi,longolongo, kutafuta cheap popularity..!!

    ...tunawaomba mkae majimboni na mfanye kazi tuliyowatuma ya kuleta maendeleo kwenye majimbo yetu lasivyo 2015 tutawapiga chini maana ni less than 30% ya ahadi zenu zimefanyika so far na muda wenu unakwisha!

    mdau
    arusha - cdm

    ReplyDelete
  2. Mkutano wa mabunge za nchi wanachama za SADC utakuwa muhimu saana kwa jamhuri ya muungano wa Tanzania kufikia malengo yaliwekwa hapo mwanzoni ya kuimalisha shirikisho la umoja wa nchi za SADC katika ulinzi wa pamoja na maendeleo ya kiuchumi kwa ujumla,
    badala ya hivi sasa kurudi nyuma na kuangalia ukanda "the so-called Coalition of the Willing" hatuna sababu za kujiharakisha tutarudi katika ukanda wa EAC tutakapokuwa tayari,kuwapa ushauri wa pendekezo kujiunga mabunge ya SADC na future vission "PARLIAMENTARY OF EAST SOUTH CENTRAL DEVELOPMENT COUNTRIES" in the region.
    Mikidadi-Denmark

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...