Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Binti Witness Mwalongo anayesoma Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya Mpechi iliyopo Mjini Njombe mara tu baada ya kuwasili Rest House mjini hapo tarehe 17.10.2013. Mama Salma yupo Mkoani Njombe akifuatana na Rais Kikwete aliye katika ziara ya kuutembelea mkoa wa Njombe kuanzia tarehe 17.10 hadi 23.10.2013. PICHA NA JOHN LUKUWI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...