WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar,Mh. Nassor Ahmed Mazrui akikata utepe na kuyafungua maonesho ya Biashara ya Idd El Hajji ambayo yanafanyika ukumbi wa Salama hoteli ya Bwaani,kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi na ..Mwenyekiti wa Bodi ya Ukurugenzi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TRANTRADE) Sabetha Mwambuja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ukurugenzi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TRANTRADE) Sabetha Mwambuja,akizungumza na wananchi wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Biasha ya Idd El Haji huko katika hoteli ya Bwawani.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akitembelea baadhi ya Mabanda ya maonesho ya Biashar ya skukuu ya Idd El Hajj,maonesho hayo pia yanaambatana na sherehe za kutimia miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...