MATEMBEZI HAYO yaliyoandaliwa na taasisi isiyoya kiserikari ya TANZANIA PATRIOTIC NETWORK(TAPANET) TAASISI YA WAZALENDO TANZANIA na kushirikisha vijana  wa vyama karibu vyote vya siasa yalianza majira ya saa 3 asubuhi na kufika Msasani kwa Mwalimu saa tano na kupokelewa na mtoto wa mwalimu ANNA JULIUS NYERERE, MKUU WA WILAYA YA KINONDONI NDUGU Jordan RUGIMBANA NA WAJUKUU WA MWALIMU ;MARIA,MAKONGORO,WARIOBA NA JULIUS LENGO KUU LIKIWA KUWAOMBA WATANZANIA WAMKUMBUKE MWALIMU KWA MATENDO NA SI MANENO
Maandamano kuelekea Msasani kwa Mwalimu

Anna Julius Nyerere akiongea na wanahabari baada ya kuyapokea maandamano hayo

Wadau mbalimbali waliojitokeza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...