Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya kupambana na Umkimwi na Madawa ya Kulevya, Diana Kilolo, akizungumza kwenye mkutano baina ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, na kamati hiyo, makao makuu ya mfuko huo jijiniu Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (Kulia), akizungumza kwenye mkutano baina ya Kamati ya Bunge ya Kupambana na Ukimwi na Madawa ya Kulevya, na wafanyakazi wa Mfuko huo, makao makuu ya PPF, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya kupambana na Ukimwi na Madawa ya Kulevya, Lediana Mng’ong’o, (Aliyesimama), akizungumza na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya Mfuko jijini Dar es Salaam . Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio na Mkurugenzi wa Rasilimali watu na utawala wa Mfuko huo , Julius Mganga (Wakwanza kulia) na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo ya bunge Diana Kilolo (Wapili kushoto).
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakifurahia moja ya hotuba zilizokuwa zikitolewa wakati wa mkutano kati ya wafanyakazi wa mfuko huo na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya kupambana na Ukimwi na Madawa ya kulevya makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...