WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema Tanzania itatoa talaka kwa nchi za Rwanda, Kenya na Uganda ambazo zimeamua kuanzisha Jumuiya ya hiari nje ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sitta alisema kutokana na nchi hizo kuonekana kuitenga Tanzania na Burundi ambazo ni wanachama wa jumuiya hiyo, wameshaanza mazungumzo ya kushirikiana kiuchumi, kisiasa na nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo (DRC).
Kauli hiyo ya Sitta inatokana na mikutano ya mara kwa mara inayofanywa na marais Uhuru Kenyata wa Kenya, Paul Kagame (Rwanda) na Yoweri Museveni (Uganda) kuzungumzia masuala mbalimbali ya kushirikiana nje ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Waziri Sitta alibainisha msimamo wa Tanzania kutengwa na nchi hizo tatu jana bungeni, alipokuwa akijibu maswali ya wabunge mbalimbali waliokuwa wakitaka kujua kauli ya serikali juu ya vikao vinavyofanywa na marais hao watatu.
Mbunge wa Viti Maalumu Rukia Ahmed (CCM), aliitaka serikali ipeleke pendekezo bungeni la kujitoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kabla haijapewa talaka kutoka kwa Rwanda, Uganda na Kenya ambazo zimekuwa zikifanya mikutano inayojadili masuala ya jumuiya bila kuihusisha serikali ya Tanzania.
Akijibu hoja hiyo Sitta, alisema ni mapema kwa Tanzania kupeleka bungeni hoja ya kujitoa katika jumuiya hiyo kwa kuwa kinachofanywa na nchi hizo kimeshafikishwa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama ambaye atakitolea ufafanuzi katika kikao kitakachofanyika wiki mbili zijazo.
Sitta alifafanua kauli ya Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, hivi karibuni ya kwamba Tanzania inasubiri talaka akisema yenyewe ndiyo yenye uwezo wa kutoa talaka kwa jumuiya hiyo kwa kuwa inamiliki asilimia 52 ya eneo lote huku nchi zilizobakia zikigawana asilimia 48 iliyobakia.
“Hawa wenzetu wanafanya utoto wa kutuzunguka, sisi tunatumia hekima za mzee Mwinyi aliyesema ‘mwongo, mwongoze’. Kama wao wana hila zozote juu yetu, siku si nyingi tutazibaini, kama ni ndoa kwenye jumuiya basi sisi ndio tutakuwa tumeoa…hivyo tutatoa talaka wakati wowote,” alisema.
Naye Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela (CCM), aliitaka serikali isiendelee na hatua zozote kwenye jumuiya hiyo ambayo inaonekana kuelekea kuvunjika.
Akijibu swali hilo, Sitta alisema serikali haijakaa kimya bali imeamua kutoshiriki vikao vyote ambavyo nchi za Kenya, Rwanda na Uganda zitakuwa zimeshayazungumzia masuala husika na kuamua kuwa na msimamo wa pamoja nje ya jumuiya.
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), alihoji serikali inangoja utafiti gani juu ya kutengwa kwao kiuchumi na nchi hizo tatu wakati Kenya wameshaingia makubaliano ya kibiashara na Ethiopia na Sudan.
Katika jibu lake, Sitta alisema Tanzania imeshafanya mazungumzo na nchi za DRC na Burundi kushirikiana katika nyanja mbalimbali.
Alisema kuwa DRC ndiyo yenye manufaa makubwa kiuchumi kwa Tanzania kuliko Rwanda, Uganda, Kenya na Burundi kwa sababu mizigo mingi hutegemea bandari ya Dar es Salaam.
“Burundi nao wanatengwa kama tunavyofanyiwa sisi, lakini tumeamua kushirikiana kikamilifu na DRC pamoja na Burundi ambao tuna imani wana manufaa makubwa kwetu,” alisema.

EAC ilipovunjwa mara ya mwanzo ilikuwa isifufuliwe tena. Sijui viongozi wetu wengi hawakumbuki kwa kuwa walikuwa wadogo mno au vipi athari na misukosuko iliyojitokeza baada ya kuvunjika EAC, tena wakati ule ilikuwa ni nchi nne Zanzibar, Tanzania bara, Kenya na Uganda. Na kama mara hii anavyosema waziri kuwa tuna sehemu kubwa wakati ule pia tulikuwa na sehemu kubwa ikiwa Zanzibar na Tanzania bara tayari kulikuwepo na muungano na hilo halikusaidia kutuepusha matatizo yaliyojitokeza.
ReplyDelete
ReplyDeletekwani mkijitoa EAC shida iko wapi?? do u think EAC shall collapse?? Tena tokeni faster msituletee nzi hapa kwa uchumi gani mlio nao?? hata South Sudan imewapita it just got indepence in 2011 and today their currency is higher than Tanzanian currency,, Haya how many Tanzanians are working on Kenya investments in Tanzania kuanzia KCB, Equity Bank mpaka WhiteDent Company Products,,,, The sad thing about you Tanzanians is that your Lazy hamutaki kufanya kazi kwa bidii mkipewa office badala ya kufanya kazi nyie mnaingia facebook na kwenye blogs the sad thing hamu thamini kazi kabisaa na ndio maana kampuni nyingi za Tanzania zinaona Bora kuchukua employees from Kenya. Shame on you Tanzanians jitoeni faster mnaturudisha nyuma
ReplyDeleteHivi hamujui na DRC wako mbioni kujenga Reli yao wenyewe toka Kinshasa mpaka Lubumbashi zaidi ya yoote Mozambique nao wana liangalia hilo kuingia ushirikiano na DRC
Inaonyesha Mshawishi mkuu ni Kagame ktk maamuzi ya hao jamaa watatu akina K-3.
ReplyDeleteWakati Kagame nchi yake haikuwepo ktk Afrika ya mwanzo iliyo vunjika mwaka 1977 lakini hii leo yeye nakuwa ni Kiranja namba moja.
Pia Uhuru Kenyatta yeye ndio kwanza Uraisi wake hajatimiza hata mwaka mmoja hivyo ni wazi hajui Matokeo ya baadae na hatari ya hatua anazochukua akisimama kwa nchi yake.
Ni wazi Umoja wao wa 'Coation of the Willing' hauna hatma njema muda mfupi ujao tu utajibu!
Raisi Zuma wa Afrika ya Kusini wiki hii yupo nchini Congo-DRC akisaini Mikataba ya Ushirikiano na Raisi Joseph Kabila wa Congo-DRC ktk Miradi mingi tu ikiwemo Umeme wa Inga Dam utakaozalisha MW 40,000 ambazo ni sawa na THELUTHI YA UMEME UNAOZALISHWA AFRIKA NZIMA.
ReplyDeleteBora tuchukue Miaka 50 mingine kuunda Umoja mpya wenye kuaminika kuliko kuchukua miaka mitano (5)na Majirani wa Mashaka ktk hii EAC ya mashaka mashaka.
Tanzania inaweza kuungana na nchi hizi zingine na ikawa na TIJA SANA TU.
1-Congo DRC ina utajiri wa US$ 24 Trilion.(Madini,Mafuta na Gesi)
2-ANGOLA ina utajiri wa US$ 13 Trillion.(Madini/Alamsi na Mafuta)
3-Msumbiji ina Gesi aslilia nyingi zaidi ytu Tanzania inaz 200 TCF (yaani FUTI ZA UJAZO WA GESI TRILIONI 200 WAKATI TANZANIA INA GESI UJAZO WA FUTI 43 TRILIONI).
4-Gabon ina utajiri mkubwa wa Almasi.
5-Zambia ina Shaba nyingi Afrika.
6-Burundi ina jumuiya nzuri na masoko ya ufanisi nje na ndani.
7-Viswiwa vya Comoro pia ina jumiya nzuri ya kibiashara na masoko ya kiufanisi kama tuna vyoona Raia wa nchi hiyo ndogo wakija kufunga bidhaa huku Tanzania.
8-Mauritius, ina mazingira mazuri ya Kiuchumi ina ongoza ktk Afrika.
9-Sao Tome, ni Visiwa vipo pwani ya Angola vikiwa ni nchi inayo jitegemea na kuwa Kinar a wa Utalii ktk bahari ya Atkankiti.
10-Madagascar ianyumba Kisiasa lakini inaweza ikaimarika na ikawa mshirika mzuri wa Jumuiya ya Kiuchumi na sisi.
TUKIUNGANA NA NCHI HIZO 10 HAPO JUU UMOJA MPYA (ECAPC) INAWEZEKANA TUKAENDELEA MARA 100 ZAIDI.
HIVYO TUNAHITAJI KUJIAMINI NA KUCHUKUA MAAMUZI MAZITO.
HIVYO TUNAWEZA KUWA NA MBADALA TUKAUNDA ECAPC-(East and Central Africa Pacific Community ) ILIYO IMARA NA YENYE KUAMINIKA ZAIDI YA HII EAC AMBAYO NI KUTI KAVU.
Kenya, Rwanda na Uganda:
ReplyDeleteWanaleta mezani maazimio yale tu yanayowapa wao nafasi ktk hii EAC.
Mfano:
1.Single Tourist visa.
Wanataka kutumia Vivutio vyetu vya Utalii ambavyo vinauzika Duniani kwa bei ya juu ili kunufaika na Mapto ya Utalii.
2.Single passport.
Raia wa nchi zao wameharibu sana nje hivyo wanataka kutumia Taswira ya Tanzania wakiwa nje wao hawaaminiki kwa sasa zaidi yetu, hivyo kushirikiana nao ktk Pasipoti tutawabeba.
3.Monetary Union.
Wanataka Umoja wa Sarafu wanajua wataweza kushirikiana Mali,Rasilimali na Mapato ya Gas na Madini.,,pia wataweza kutuibia kwa urahisi kama tukiwa na Benki Kuu moja.
4.Land.
Wao wana matatizo ya ardhi na Ukame kwao wanataka ardhi yetu.
5.Political Union.
Wanataka Umoja wa Kisiasa ili waweze kututawala kirahisi.
HAYO NDIYO MAMBO WANA YOSALI WAYAPATE KUTOKA KWETU NDIO MAANA WANATUBURUZA SANA NA KUTUTENGA.
Mhe. Sitta,
ReplyDeleteWaeleze hao jamaa akina K3 na ''Coalition of the willing'' yao ya kuwa SIO KUWA KTK UMOJA MAANA YAKE NI KUWA ''MR YES'' (Yaani Bwana Ndiyo) KWA KILA AZIMIO LINALOWEKWA MEZANI.
Hata kule kwa wazoefu Umoja wa Ulaya Kila kitu kwanza kinapigiwa Kura na Wananchi wote na maamuzi yanatoka pia hakuna kushinikizana kama anavyotaka Kagame,Kenyatta na Kaguta.
Mfano ktk suala la Umoja wa Sarafu baadhi ya nchi zimeingia matumizi ya Sarafu ya EURO na zingine zimo ktk EU lakini hazitumii Sarafu ya EURO kama Uingereza inatumia POUND, Norway inatumia NORWEGIAN KRONER na Switzerland inatumia SWISS FRANC.
PIA MAMBO MENGINE MFANO POLITICAL FEDERATION HAILAZIMISHWI KAMA WANAVYOTAKA AKINA K-3.
HIVYO Mhe. SITTA ULIKUWA SAHIHI KUTOA TAMKO YA KUWA WASITUBURUZE.
HAWA WANA LAO JAMBO!
Tanzania is rising!
ReplyDeleteJambo ambalo lipo wazi ni kuwa Kenya iliyokuwa inajiona kuwa ndio yenye Uchumi mkubwa hapa Afrika ya Mashariki inaelekea kuipoteza nafasi hiyo mbele ya Tanzania ambayo sasa inaamka kwa kasi ya ajabu!
MIUNDO MBINU:
.............
Ktk suala hilohilo la Miundo mbinu linalowaweka Vikao vya kututenga sisi ukiangalia tumewafunika vibaya sana kwa kuwa na Miradi mingi zaidi kama
1.Bandari pmya mbili Bagamoyo na Mwambani,
2.Miradi Mitatu (3) ya Reli, na Barabara karibu kuunganisha nchi nzima ya Tanzania ambayo tunaweza kuunganisha hadi Congo-DRC, Burundi, Angola hadi Afrika Kusini,
3.Miradi ya Mitambo ya Nishati hasa Gas Asilia na Madini,
Wao nchi zote karibu saba wana Mradi mmoja (1) tu wa Bandari mpya ya Lamu Mradi wa LAPSSET reli na barabara Mombasa-Kigali.
RASILIMALI:
...........
Tanzania ina Gesi Asilia Ujazo wa 43 TCF (Futi za Ujazo 43 Trilioni) ambayo ina kiwango cha chini cha madhara ya kuharibu mazingira zaidi ya Mafuta ya Uganda Pipa Bilioni 3.5 ambapo Gesi ya Tanzania ikiyeyushwa inazalisha mara 2 ya Mafuta yaliyopatikana Uganda yaani Gesi 43TCF nisawa na PIPA ZA MAFUTA 7 BILLIONI.
ZAIDI YA HAPO WATAFITI WANAZEMA MPAKA MWAKA 2015 TANZANIA INAWEZA KUFIKISHA 200 TCF (FUTI ZA GESI ZA UJAZO 200 TRILIONI KIWANGO AMBACHO MSUMBIJI IMEPATA LAKINI CHAO KIKIWA NA KIWANGO CHA CHINI CHA MADINI YA NISHATI LOW HYDROCARBON CONTENT WAKATI TANZANIA GESI YETU INA KIWANGO CHA JUU CHA HYDROCARBON NA NDIO KIGEZO CHA MASOKO KWA MAPATO YA JUU).
WORLD BANK REPORTS:
..................
Wolfgang Fengler mwaka jna 2012 aliyekuwa Mchumi Mwandamizi wa Benki ya Dunia kwa nchi ya Kenya akiwa ktk Kituo chake cha kazi Jijini Nairobi alitoa Ripoti ambayo iliwauma sana wa Kenya, ni KUWA ALIWAELEZA WAZI YA KUWA TANZANIA IFIKAPO MWAKA 2025 ITAKUWA NDIO YENYE UCHUMI MKUBWA ZAIDI YA KENYA NA ITAKUWA IMEPIGA HATU KUBWA SANA ZA MAENDELEO!
Hivyo nyendo za siri za hao jamaa Kenya, Uganda na Rwanda dhidi ya Tanzania ni kutokana na hayo hapo juu matatu (Miundombinu,Ripoti ya ukweli halisi ya Mtaalamu aliyepita wa Worldbank-Kenya na Rasilimali za Tanzania).
Isiwe kigezo ya kuwa Muungano wa Kichumi ni lazima tuwe na Kenya na Uganda, achilia mbali hiyo Rwanda ambayo kwenye Afrika ya Mashariki ya kwanza iliyo vunjika mwaka 1977 haikuwemo.
ReplyDeleteTuangalie ustaarabu mwingine na wala tisupoteze muda kwa kuwa ni GHALI SANA NA HATARI ZAIDI KUMUAMINI WASIYE AMINIKA NA WENYE MIPANGO YA SIRI !
Mhe.Sitta umesema vema. Sisi wananchi tumeliona hilo kwa namna linaloendelea lakini sie tupo tayari. Kwa bahati mbaya tumeisapoti Kenya kwenye maamuzi yao ya kiuaji ya kwenye ICC. Lakini kuanzia sasa tukubaliane kuto unga mkono katika maamuzi yoyote katika Nyanja za kitaifa na kimatiafa kwa nchi hizo zote 3. Kama Tanzania ikiazimia kufanya hilo na kuamua kusimama kwenye mikutano yote ya Jumuiya kwa ombi la kutaka tutathmini mambo yanayoendelea kwenye Jumuiya.
ReplyDeleteKwakuwa hatuwezi kunufaika mutually na nchi ambazo ni wanafiki kama Kenya, Uganda na Rwanda. Hatuna haja nao na kwakuwa wameamua kujitoa, kuwa kutofuata utaratibu na Secretariat haija toa muongozo wowote kuna haja gani ya kuwa nao? Kweli siye hatuwezi kuburuzwa, wanagombea hihyo Political Federation kwa misingi yakutaka kuburuza wenzao, na sisi hatupo tayari katika hilo. Kuanzia sasa watalii wote wanaoingia nchini kutokea Kenya tuweke ushuru mkubwa ni heri kupoteza kwa muda mfupi lakini baadae tufaidike kuliko kuendelea kuwabeba hawa wanafiki.
Action speaks than words,Kenya Uganda na Rwandwa,Wameisha tuonyesha kwa vitendo "THEY DO NOT NEED US"Na-sisi tunatakiwa kuanza vitendo,(WE CAN DO BETTER WITHOUT THEM).
ReplyDeleteWe are all in the 3rd world, Tusiwape nafasi hii mijamaa kuanza kujiona au kufikiria kuwa they are better than us. Hakuna haja ya kung'ang'ania muungano usio na faida kwetu. Tazama wakenya,na wanyarundwa walivyo jaaa maofisini hapa bongo.
Kusema kweli we can do better without them, ni sisi wenyewe kujipanga na kuweka uzalendo mbele.
THE RIGHT TIME FOR TZ TO GET OUT OF EAC IS NOW,BEFORE IS TOO LATE.(Mwenye macho haambiwi tazama)
Thanks.
Jirani zetu wanaelewa udhaifu wetu ktk KUJITUMA, KUSIMAMIA NA KUWAJIBISHANA.
ReplyDeleteHebu angalieni Miradi ya Ujenzi wa Miundo mbinu iliyoendeshwa chini ya Kiwango kama Mradi wa Barabara ya Mbagala KILWA ROAD hadi kupelekea Muhisani akarudia baada ya Wizi na Ufisadi wa Mkandarasi lakini pamoja na hilo Mkandarasi hakuwajibishwa hadi leo.
HIVYO KENYA, UGANDA NA RWANDA WAMEELEWA WAZI YA KUWA KUTOKANA NA UTAMADUNI WETU TANZANIA WA KUTO KUULIZANA NA KUWAJIBISHANA MAMBO YANA POHARIBIKA, LICHA YA KUWA TUNAWEZA JIKAKAMUA KIVYETU WANAJUA NI LAZIMA TUTAWAANGUKIA NA KUWAPIGIA MAGOTI !!!
Tukiachana na Ufisadi na Wizi, tukajua kuulizana na kuwajibishana hasa baada ya mambo kuharibika ktk sehemu za kazi, tunahitaji kujiamini zaidi, INAWEZEKANA NA SISI TUKA SIMAMA KIVYETU !!!
ReplyDeleteKagame, kama unatambua umuhimu wa Muungano wa Kiuchumi na unapenda kuuharakisha sana kama unavyolzimisha mambo ktk EAC pamoja na ugeni wako kwenye Jumuiya, je inakuwaje wewe tena ndio unayeendesha vita Congo-DRC nchi jirani yako?
ReplyDeleteKama unatambua umuhimu huo kwa nini usingeanza kuweka Muungano wa Kiuchumi na jirani yako Congo-DRC kwanza kabla ya kuja EAC na kujifanya unajua sana masuala ya Muungano?
Uzoefu wa masuala ya Muungano uliupata wapi wakati ktk iliyokuwa EAC iliyovunjika mwaka 1977 wewe ulikuwa Mwanafunzi Mkimbizi unasoma Sekondari nchini Uganda?
Leo ndiye wewe unajifanya unajua sana kuwashinikiza watu na nchi zingine kuingia na kukubali kila azimio la Muungano?
Nani alikwambia ya kuwa Muungano unaamuliwa na Viongozi badala ya Wananchi?
Ninyi Kagame, Kaguta na Kenyatta mliona wapi maamuzi ya kukubali Muungano yakawekewa deadline date?
Hamjui ya kuwa Umoja mfano ule wa Ulaya ulichukua miaka kuunda?
Achaneni kabisa na Mtanzania ni mtu wa magutu!!!
Hashim Bwengo,
ReplyDeleteMtoa Maoni No. 2 juu ,
hahahahaha... JE WEWE NCHINI KWAKO UNA UCHUMI GANI WA KUITISHA TANZANIA?
Maraisi wenu wa ''Coalition of the willing'' wa Rwanda, Uganda na Kenya wanakaa Vikao kuijadili Tanzania leo unaleta maneno ya kuny hapa?, toka hapa wewe na nchi zenu za ''Coalition of the willing''
Kwa taarifa yako sisi ndio watoa Talaka wa kuwakukuza ninyi kutoka ktk EAC kwa kuwa Tanzania ni 52% ya EAC wakati ninyi Uganda, Kenya, Burundi na Rwanda wote zenu ni 48% tu tu ya hii EAC !!!
Sasa hapo wa kuambiwa toka zenu kule ni wewe (Uganda, Rwanda, Kenya na Burundi) ama Tanzania?
MDAU WA 6 JUU:
ReplyDeleteMANENO YAKO NI YA KWELI SANA, NI KUWA RWANDA, UGANDA NA KENYA WANAKUWA NA MAAZIMIO YA UPANDE MMOJA MFANO HAYO HAPO CHINI, SASA TUANGALIE Mhe. RAISI KIKWETE ALIPOTOA USHAURI KWA RAISI KAGAME AONGEE NA WAASI ILI KUTOA TOFAUTI ZAO NA KULETA AMANI NI AZIMIO AMBALO NI LA MAANA LAKINI LILIPOKELEWA NDIVYO SIVYO NA Mhe. RAISI KAGAME!!!
HIVI KWELI KUFANYA MAONGEZI NA WAPINZANI ILI KULETA AMANI NCHINI HAINA UMUHIMU?
...................................
Kenya, Rwanda na Uganda:
Wanaleta mezani maazimio yale tu yanayowapa wao nafasi ktk hii EAC.
Mfano:
1.Single Tourist visa.
Wanataka kutumia Vivutio vyetu vya Utalii ambavyo vinauzika Duniani kwa bei ya juu ili kunufaika na Mapto ya Utalii.
2.Single passport.
Raia wa nchi zao wameharibu sana nje hivyo wanataka kutumia Taswira ya Tanzania wakiwa nje wao hawaaminiki kwa sasa zaidi yetu, hivyo kushirikiana nao ktk Pasipoti tutawabeba.
3.Monetary Union.
Wanataka Umoja wa Sarafu wanajua wataweza kushirikiana Mali,Rasilimali na Mapato ya Gas na Madini.,,pia wataweza kutuibia kwa urahisi kama tukiwa na Benki Kuu moja.
4.Land.
Wao wana matatizo ya ardhi na Ukame kwao wanataka ardhi yetu.
5.Political Union.
Wanataka Umoja wa Kisiasa ili waweze kututawala kirahisi.
HAYO NDIYO MAMBO WANA YOSALI WAYAPATE KUTOKA KWETU NDIO MAANA WANATUBURUZA SANA NA KUTUTENGA.
Hashim Bwengo,
ReplyDeleteMtoa Maoni wa No.2 juu.
Unapozungumza na Watanzania na Tanzania kwa ujumla unahitaji kuwa na heshima kwa kuwa unaongea na MABOSI WAKO WA KIUCHUMI KTK AFRIKA YA MASHARIKI NA AFRIKA!!!,
UKWELI HUO WA TANZANIA KUWA BOSS KIUCHUMI AFRIKA HATA UN,WORLDBANK, IMF, MAREKANI NA RAISI OBAMA, UK NA PM DAVID CAMEROAN NA CHINA NA RAISI JI XINPING WANALITAMBUA HILI.
HASHIM BWENGO ACHA UJINGA NA DHARAU DHIDI YA TANZANIA, TUTAKUTUMIA NDEGE YA DRONE NA MSHIRIKA WETU OBAMA TUKAKUPIGA HAPO ULIPO!
TANZANIA JUUUUUUUUUUUUUUU !!!
KIKWETE JUUUUUUUUUUUUUUU !!!
Yote 9 lakini la 10 ambalo kamwe silikubali,
ReplyDeleteNi kushirikiana Pasipoti na Mabanyamulenge wa Rwanda na Mabwenga wa Uganda kama akina HASHIM BWENGO mtoa Maoni wa No. 2 hapo juu.
Ohhh, tafadhali Mhe.Raisi Kikwete na Mhe.Membe kama mtakubaliana na Azimio la PASIPOTI YA AFRIKA YA MASHARIKI naomba niwe nibaki Mtanzania lakini mnionbee Pasipoti ya UMOJA WA MATAIFA !
Hashimu Bwengo,
ReplyDeleteNchini kwako umezidiwa Uchumi kwa kutupwa mbali sana na Tanzania.
Kwa Taarifa yako,
Maraisi wako wa 'Coaltion of the willing' wametengwa Kimataifa kwa tuhuma mbali mbali kama hapa chini:
1.Kaguta-Rushwa nyingi ktk Serikali yake hadi Wahisani wamekata Misaada.
2.Kenyatta-Kesi huko ICC inayo mkabili.
3.Kagame-Kujihusisha na Waasi wa Vita Congo-DRC.
Zaidi ya hapo UCHUMI HUNA NCHINI KWAKO.
1.Uganda-Mafuta yako ni Nishati chafuzi wa mazingira kuliko Gas ya Tanzania ambayo ndio Nishati ya New Generation kwa miaka ijayo nchi nyingi duniani zinahamia ktk Clean Energy kama Natural Gas LNG.
Idadi ya 3.5 Bilion Barels of Oil ulizo pata wewe Uganda ni NUSU YA LNG GAS 43 TCF ILIYOPATIKANA TANZANIA !, TENA HADI MWAKA 2015 TANZANIA ITAFIKISHA GAS LNG ILIYOPATIKAA KUFIKIA 200 TCF ,HIVYO TANZANIA ITAKUZIDI UGANDA MARA 8+ KWA ENERGY SECTOR!
2.Kenya-Crude Oil (Mafuta) uliyopata hayaja thibitishwa kuwa COMMERCIAL pia ni machache sana deposit yake hayazidi 2.5 Million Barels !,,,zaidi ya hapo Kenya Uhcumi wako unategemea Viwanda vya Majani ya Chai na Kilimo cha chai, Mirungi na Mauwa (FLOWERS EXPORT)!,,,HIVYO KENYA USIJILINGANISHE UCHUMI WAKO SASA NA TANZANIA!
3.Rwanda-Uchumi wako unategemea Wizi wa Madini Mashariki ya Congo-DRC na sasa hakun uwezekano kwa kuwa Majeshi ya UN BRIGADE-Tanzania yamekamata sana hamuwezi kuokota hata jiwe moja la madini kwa sasa.
Mhimili mwingine wa Uchumi wenu Rwanda ni Utalii wa Manyani kaika Milima ya Ruhengeri Magharibi mwa Rwanda.
Hivyo nchi tatu za EAC za 'Coalition of the willing' kwa facts hizo hapo juu Uchumi wenu unapumulia mashine ICU Hospitali!, ndio maana mnalazimisha Muungano na sisi Tanzania ili muweze kutatua Matatizo yenu ya Kiuchumi NA WALA MSIJILINGANISHE NA TANZANIA INAYOPAA KIUCHUMI.
Marais wa 'Coaltion of the willing' wanakesha wakiwaza ni vipi watamudu kuendesha nchi zao wakati hali zao ni ngumu sana!
ReplyDeleteVikao vyao ni kutapa tapa baada ya kuona wameachwa sana na Tanzania waliyokuwa wakiishisha, wakiidharau na kuibeza na sasa ndiyo hiyo hiyo inawaacha sasa.
Ndio pale unakuta unaye mdharau, kumshusha na kumteza anakuacha kimaisha!
DHARAU MBAYA SANA!
Maraisi wako wa 'Coaliton of the willing' vipara vinawaporomoka majasho wanafuta majasho ya vipara wakiiwaza Tanzania inavyo waacha wanafikia kulazimisha Makubaliano ya Maazimio mengi ktk hii EAC ya kujinusuru Kiuchumi wakiitumia Tanzania na mali zake na uwezo wake.
ReplyDeleteHalafu wewe Hashimu Bwengo No. 2 hapo juu unasema nini?
Wananchi wa nchi za 'Coalition of the willing' na Maraisi wenu akina K3 mngejua kula na Kipofu mngefanikiwa!
ReplyDeleteNi vile mmekwenda kasi sana kwenye kulazimisha kusainishana Maazimio ya Muungano wa EAC ndio maana Wajanja Tanzania tukastuka!
Maraisi wa 'Coalition of the willing' wanaalika Stress zisizokuwa na sababu!
ReplyDelete1.Hebu angalieni Mhe.Raisi Kikwete Dunia nzima RAIS XI JIN PING, (CHINA), MARAISI WATATU WA (MAREKANI)OBAMA,BUSH NA CLINTON na WAKE ZAO, TONY BLAIR PM WA UK wanamtembelea kwake Ikulu Magogoni Dar Es Salaam halafu ninyi Maraisi Masikini kabisa Kikwete mwenye nyota inayowaka mnamtenga?
2.Hebu angalieni ninyi Miradi yenu ya Miundombinu mnayo Bandari moja ya LAPSSET ya Lamu halafu Kikwete ana Bandari (MBILI), ya MWAPROC Mwambani Tanga itakayokuwa na tmbo wa Mafuta na Gesi na Bandari ya BAGAMOYO itakayobeba KONTENA 20 Mil. kwa mwaka HUKU MIRADI YOTE YA TANZANIA IIWA IMESHAPATA FEDHA ZA UTEKELEZAJI, hamuoni mmezidiwa?
Maraisi akina K-3 kwanza hamkopesheki !!!, anagalieni Raisi Uhuru Kenyatta ameenda China amepewa US$ 5 Bilion tu kwa Miradi yooote hiyo ya LAPSSET ,Lamu Port, Uganda Oil Refinery, Reli na Barabara Mombasa-Kigali.
COALITION OF THE WILLING MMEANGUKIA PUA !