Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mungu atakupa afya selemani , nafikiri hili tatizo lipo kwenye uwezo wa serikali kumpeleka india , hapa tanzania tutamvuruga tu hatuna ujuzi kwa kesi kama hizi. Hahitaji kukatwa mguu , wanaweza kukata hizo nyama lakini akachunguzwe india serikali isifunge macho , mawaziri na wakubwa huwa mnapelekana wenyewe kwa mamilioni ya fedha wala hamna ugonjwa mnaita chek up , huyu ni kijana mdogo serikali ichukuwe hatua sio kutembelea mabenzi na kujinufaisha

    ReplyDelete
  2. hao madaktari wa kudesa hawawezi ugonjwa huu.

    ReplyDelete
  3. hivi serikali inalipia programu za siasa inashindwa maisha ya raia.

    serikali inategemea watu wamtibu kwa huruma, yenyewe haitaki kutoa huduma.

    wazazi mmeshaona asiyefaa kupigiwa kura.

    ReplyDelete
  4. amani ili wanyonge wanyongeke zaidi na fisadi afisidi bila bughudha.

    ReplyDelete
  5. Aksante mdau wa kwanza. Mungu ni mkuu. Huyu kijana wetu tunaomba asaidiwe na Selikali.

    Kama alivyoeleza, walitaka wakate mguu Mama akakataa. Miguu ni mizima ila nyma imeota. Matibabu bje ya nchi inaweza mponyesha. Serikali yetu ni sikivu. Nina hakika wameliona hili na MUNGU awaingie miyoni mwao, ailegeze mioyo yao iwe na huruma PEKEE. Wamutembelee na wampeleke nje kwa matibabu.

    ReplyDelete
  6. Watafutwe madaktari bingwa hapo bongo watueleze nini kinatakiwa ili watz waliotayari kusaidia wajue pakuanzia,please i am very serious . Mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  7. Tuombe Mungu aingilie kati...hii hali ni ngumu.Lakini tutashinda.

    Eee Mungu Mimi nilie hapa mbele yako Wewe ni Mungu wetu muumba wetu mkuu. Wewe ndiye uliyetuletea mtoto huyu. Hali yake unaiona Mungu muweza yote.

    Hebu mlegezee mzigo huu ni mzito mno. Miaka 17 sasa binadamu ameshindwa, sasa tunakugeukia wewe muweza wa yote .

    Mjalie kupona haraka. Mungu usiangalie dhambi zangu ila tu mahitaji ya huyu mtumishi wako. Nakuomba hayo kwa njia ya Kristo bwana wetu...Amina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...