Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band  aka FFU Ughaibuni ya kule Ujerumani inawatakia wadau wote kila la heri katika siku kuu ya Eid El Hajj.Baraka za mwenyezi mungu
na amani kwa wadau wote,  Eid Mubaraka.
Pata burudani na zawadi ya Eid :

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. makamanda nayi tunawatakieni Idd mubarak

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...