Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magese Mulongo akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba yake ya Kufunga Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,uliomalizika muda mfupi uliopita katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,Jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akizungumza jambo wakati wa kufunga Mkutano huo,uliokuwa ukifanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,Jijini Arusha.
 Mtoa Mada wa Mwisho katika Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF ambaye ni Mtaalam wa Saikolojia,Chris Mauki akiwasilisha mada yake kwenye Mkutano huo uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo.
Mchangia Mada ya mwisho siku ya leo,Dk. Kabeho Sollo akifafanua maswala mbali mbali yahusuyo mada hiyo katika Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...