Mwenyekiti
wa mtandao wa wanamuziki Tanzania, John Kitime akifafanua jambo wakati wa
warsha ya siku moja ya wanamuziki na wadau wa muziki Tanzania katika kujadili
mambo mbali mbali ikiwemo mustakabali mzima na mwenendo wa muziki nchini
Tanzania. Warsha hiyo imefanyika leo katika mgahawa wa Nyumbani jijini
Dar es Salaam.

Wanamuziki na wadau wa muziki wakifuatilia warsha hiyo.
Hawa wanamuziki wa kizazi kipya bado saaana, yaani hawajajielewa bado na ndio maana wanalaliwa kweli.Ujanja mwingi mbele kiza na elimu nayo inachangia.
ReplyDeleteJamani nimefarijika kumuona Bob Haisa, tatizo nini? hivi unajua nyimbo zako kuwa zinakubalika?? Basi rudi kwenye game.
ReplyDelete