Wasamalia wema wakitoa msaada kwa mwendesha baiskeli iliyokuwa imesheheni lundo la Madafu,baada ya kugongwa na Gari aina ya Harrier katika eneo la Mtoni Mtongani jijini Dar es Salaam leo.Mwendesha baiskeli huyo aligobwa na gari hilo baada ya kuzidimaarika na baiskeli yake hiyo wakati akikwepa shimo.hakuna alieumia katika ajali hiyo.
Home
Unlabelled
Muuza madafu chupu chupu leo eneo la Mtoni Mtongani jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...