mkuu wa mkoa wa mbeya Abbas Kandoro akiapa kuwa ameupokea salama mwenge wa uhuru kama alivyokabidhiwa na mkuu wa mkoa wa Njombe leo hii
mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akimkabodhi mwenge mkuu wa wilaya ya Mbeya dk Norman Sigala ambaye ataukimbiza mwenge huo kwenye halmashauri yake
mkuu wa wilaya ya mbeya Dk Norman Sigala akikiri kuupokea mwenge huo
viongozi mbalimbali wa mkoa wa Njombe na wilaya ya Makete wakielekea kwenda kuukabidhi mwenge huo kwa mkoa wa jirani wa Mbeya(picha zote na Edwin Moshi)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...