Msaidizi wa Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NBC, jolanda songoro (kulia) akishikana mikono na
Mkuu wa Makao ya Taifa ya Watoto Kurasini, Ramadhan Yahya wakati akimkabidhi
msaada wa magodoro, vyandarua, vyakula na sabuni vyote vikiwa na thamani ya
zaidi ya shs milioni 2.5 viliyotolewa na benki hiyo kituoni hapo, jijini Dar es
Salaam.
Msaidizi wa Mkuu
wa Idara ya Fedha wa Benki ya NBC, jolanda
songoro (kushoto) akishikana mikono na baadhi ya watoto wanaolelewa katika
Makao ya Taifa ya Watoto Kurasini, wakati akikabidhi msaada wa magodoro,
vyandarua, vyakula na sabuni vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shs milioni
2.5 viliyotolewa na benki hiyo kituoni hapo, jijini Dar es Salaam. Wa tatu
kulia ni Meneja Mahusiano wa Benki hiyo, Eddie Mhina,
Msaidizi wa Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NBC, jolanda songoro (kushoto) na Meneja Mahusiano wa
Benki hiyo, Eddie Mhina wakibeba baadhi ya watoto wanaolelewa katika Makao ya
Taifa ya Watoto Kurasini, wakati benki hiyo ikikabidhi msaada wa magodoro,
vyandarua, vyakula na sabuni vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shs milioni
2.5 kituoni hapo, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni motto, Sebastian na kulia ni
Alex.
Mfanyakazi katika Idara ya Fedha ya NBC, Gabriela Sukums
(kushoto) na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, Eddie Mhina (kulia) wakigawa juisi
kwa baadhi ya watoto wanaolelewa katika Makao ya Taifa ya Watoto Kurasini,
wakati benki hiyo ikikabidhi msaada wa magodoro, vyandarua, vyakula na sabuni
vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shs milioni 2.5 kituoni hapo, jijini Dar es
Salaam.
Mfanyakazi katika Idara ya Fedha ya NBC, Gabriela Sukums
akiweka chandarua katika moja ya kitanda katika bweni la watoto la Makao ya
Taifa ya Watoto Kurasini wakati benki hiyo ikikabidhi msaada wa magodoro,
vyandarua, vyakula na sabuni vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shs milioni
2.5 kituoni hapo, jijini Dar es Salaam.
Msaidizi wa Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NBC, jolanda songoro (kushoto) akicheza mchezo wa
kuruka kamba na baadhi ya watoto wanaolelewa katika Makao ya Taifa ya Watoto
Kurasini, mara baada aya kukabidhi msaada wa magodoro, vyandarua, vyakula na
sabuni vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shs milioni 2.5 viliyotolewa na
benki hiyo kituoni hapo, jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...