Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),Nehemiah Kyando Mchechu akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo,wakati wa kuzindua kampeni ya uuzaji wa Nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa za bei nafuu kwa nchi nzima,kwa kuanzia na mikoa 11. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Kuendeleza Biashara,David Shambwe (kulia) na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii,Susan Omari.
Home
Unlabelled
NHC yazindua kampeni ya uuzaji wa Nyumba za bei nafuu kwa mikoa 11 nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wapi tentative prices?
ReplyDeletewapi tentative prices?
ReplyDelete