Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa NMB Bi. Vicky Bishubo, akipokea tuzo ya ushindi wa pili kwenye uwakilishaji wa michango ya wafanyakazi kwa wakati kwenye taasisi za kifedha kutoka PPF iliyokabidhiwa na Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe. Dr. William Mgimwa (pili kushoto), wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF unaofanyika jijini Arusha.
Baadhi ya wanachama wa PPF wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF unaendelea.
Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa NMB Bi. Vicky Bishubo pamoja na Meneja Mahusiano kutoka Kitengo ya Serikali cha NMB Bw. Elieza Msuya (kulia) na Meneja Mahusiano wa NMB huhuma za benki kitengo cha taasisi Bw. Sepi Mawalla akizungumza na mwanachama wa PPF wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF unaofanyika jijini Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...