Luteni Jenerali Paul Meela Mkuu wa utambuzi JWTZ (kulia) akipokea sehemu ya msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja wa Huduma za Serikali wa NMB, Elieza Msuya (kushoto). Msaada huo wa vifaa vya michezo wenye thamani ya shilingi milioni nne umetolewa na benki ya NMB kwa ajili ya wanajeshi wa Tanzania wanaolinda amani huko Darfur. Hafla hii ya makabidhiano yalifanyika mwishoni wiki Jijini Dar es Salam. Akishuhudia makabidhiano hayo ni Afisa wa NMB, Emmanuel Mahodaka.


Luteni Jenerali , Paul Meela Mkuu wa utambuzi JWTZ (tano kulia) pamoja na Makamanda Wakuu wa  JWTZ katika picha ya pamoja na Maafisa wa benki ya NMB baada  ya makabidhiano ya vifaa vya michezo vilivyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya wanajeshi wa Tanzania wanaolinda amani huko Darfur

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...