President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(Right), British Prime Minister David Cameron(left), Indonesia Vice President Boediono(second left) and Warren Krafchick during the opening plenary session of Open Government Partnership 2013v Summit held at Queen Elizabeth II Conference Centre in London this morning.(Photo by Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP:

    Maraisi wengine wa Afrika ya Mashariki Almaaruf akina K-3,Kagame,Kaguta Museveni na Kenyatta mambo yao ni ya Kisirisiri na ya chini chini Wizi Hujuma na Hila nyingi.

    Kikao kama hiki haiwezekani kuhudhuria ni VILE HAWAPO WAZI KTK UENDESHAJI WAO WA KISERIKALI KAMA TUNAVYO SHUHUDIA NYENDO ZAO ZA CHINI CHINI KTK UENDESHAJI WAO KATIKA HII AFRIKA YA MASHARIKI YAO YA 'COALITION OF THE WILLING' !!!

    ReplyDelete
  2. hii ni mikutano ya kuhudhuria mh.rais...sio vikao vya kinafiki vya kina K3 ....

    ReplyDelete
  3. Thanks mola,tuna Rais wa nchi,sio chief wa wakikuyu au watusi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...