Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw.Juma Ali Simai leo katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa.
Kiongozi wa mbi za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw. Juma Ali Simai akisoma risala ya ujumbe wa wananchi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete leo mjini Iringa.

Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wakazi wa Mkoa wa Iringa na Taifa kiujumla kwenye maadhimiisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Siku ya Vijana.
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza mwenge wa Uhuru 2013 leo mjini Iringa.
Mbio za Mwenge umepitwa na muda wake Ndugu Mheshimiwa Dakta Raisi Kikwete. Tutumie pesa za maandalizi ya mwenge kujenga shule na hospitali vijijini. Watoto bado wanasoma chini ya mwembe kama unavyoona hapa katika picha za mpigaji wako wa Ikulu.
ReplyDelete