Safari ya kuelekea makaburini kinondoni imeanza 
Ndugu jamaa na marafiki wakipita karibu na jeneza katika kuuaga mwili wa ndugu sanga nyamasyeki aliyekuwa ni mfanyakazi wa tigo katika ofisi ya huduma kwa wateja kariakoo ambaye alifariki siku ya jumamosi tarehe 12 kwa ugonjwa wa kansa ya damu na kuzikwa katika makaburi ya kinondoni alasiri ya jana.
wafanyakazi wa tigo nao wakitoA heshima zao za mwisho kwa marehemu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...