Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Na kwanini mlitoa taarifa inayokinzana na kamati ya maadili kabla hukumu haijapitiwa. Kwa hiyo hayo mapitio yakifanana na matakwa yenu mlioonyesha awali wahusika wakilalamika kama umerubuni mtakataa. Mngekuwa na busara kidogo, hasa kwa kuzingatia mlitegemea mapitio, mngetangaza kama kamati ya maadili ilivyosema kisha mkatamka mnayotamka sasa kwamba mnaona hukumu ina ukakasi hivyo mtakata rufaa! Nadhani kilichofanyika ni ubabaishaj!

    sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...