Msemaji wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TAESA) Bw. Peter Ugata (katikati) akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusu umuhimu wa Watanzania kutumia wakala huo katika kutafuta Ajira,wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) kulia ni Mratibu wa Huduma za Ajira wa wakala huo Bw. Joseph Haule na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bi. Fatma Salum.Picha na Frank Mvungi-MAELEZO
Home
Unlabelled
TAESA KUENDELEA KUWAUNGANISHA WAAJIRI NA WAAJIRIWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...