Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa wa nchini Afrika ya Kusini, David Tlale akiwa na Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka nchini Tanzania, Millen Magesa wakipita stejini mara baada ya kuonyesha mavazi yake katika tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week lililofanyika kwenye Stesheni ya Treni ya Rovos, Mjini Tshwane, Pretoria nchini Afrika Kusini
Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka nchini Tanzania,Millen Magesa akipita Stejini kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa wa nchini Afrika ya Kusini, David Tlale wakati wa onyesho lililofanyika usiku wa kumamkia leo kwenye Stesheni ya Treni ya Rovos, Mjini Tshwane, Pretoria nchini Afrika Kusini.

AU



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...