Katika kuwawezesha wafanyabiashara wengi zaidi Tanzania kutumia fursa ya teknolojia kwenye kazi zao, tutakuwa tunauza website zilizo tayari kwa matumizi ya biashara. Leo sokoni tunaleta Website ya Duka la Mavazi (Fashion Shop). Website iliyo kamilika na inaweza kuingia hewani ndani ya siku kwa 750,000Tsh kama utalipa kwa awamu mbili na 600,000 kama utalipa awamu moja. Ununuapo Website unapata vifuatavyo.
1. Muonekano wenye mvuto kuendana na maana halisi
2. Kilimanjaro Hosting Plan ya mwaka mmoja, jina la website (domain) kwa mwaka mmoja, hati miliki kwa 100% .
3. Free technical support toka Dudumizi kwa mwaka mmoja
4. Features zote za Duka la online kama; Watu kuweza kununua online kwa Visa, Paypal, Mpesa, Tigopesa nk, pia unaweza kuifanya kama sehemu ya maonesho na watu kuwasiliana nawe kama hautaki kuuza online.
5. Ushauri wa biashara wa online toka Dudumizi
6. Lugha mbili, unaweza kuchagua kiswahili kama utahitaji.
Kuiona LIVE jinsi inavyofanya kazi nenda HAPA
Kama upo interested (kwa walio makini tu pls), wasiliana nasi kupitia info@dudumizi.com Sykpe: dudumizi au What's app : +8615271818525
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...