Afisa Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), Dkt. Kamugisha Kazaura
akizungumza katika warsha ya saba ya mwaka ya Taasisi ya Mawasiliano ya Kusini
Mwaafrika (SATA), ambapo wajumbe 60 walishiriki kujadilia mbinu zinazoweza
kusaidia kuzuia wizi na udanganyifu unaofanywa mitandaoni jijini Dar es Salaam
hivi karibuni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto) akimsikiliza kwa
makini Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania
(TTCL), Dkt. Kamugisha Kazaura mara baada ya kufungua warsha ya mwaka ya
Taasisi ya Mawasiliano Kusini mwa Afrika (SATA) jijini Dar es Salaam hivi
karibuni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kulia) akizungumza na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano
Tanzania (TTCL), Dkt. Kamugisha Kazaura (katikati) mara baada ya kufungua
warsha ya mwaka ya Taasisi ya Mawasiliano Kusini mwa Afrika (SATA). kushoto ni
Ofisa Mkuu wa Ufundi TTCL, Bw. Jotham Lujara. Mkutano huo ulifanyika jijini Dar
es Salaam hivi karibuni.
KUSOMA ZAIDI INGIA HAPA
KUSOMA ZAIDI INGIA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...