Jaji Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na baadhi ya Watumishi wa Mahakama wa Mkoa wa Kigoma alipowasili leo kwa ajili ya ziara ya kikazi mkoani humo,pembeni kwa Jaji Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Mstaafu, Issa Machibya, na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu.
Jaji Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Mhe. Mohamed Chande Othman akipatiwa maelezo wakati alipofanya Ukaguzi wa kiwanja cha Mahakama Bangwe,kinachotarajiwa kujengwa Mahakama Kuu Kigoma. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...