Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Mkewe Tatu Abdi wakipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Maria ya Kimara, jijini Dar es Salaam juzi.Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Mai waifu wake  Tatu Abdi wakipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Maria ya Kimara, jijini Dar es Salaam.
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Acheni ubaguzi. Ndoa ni makubaliano ya watu wawili wapendanao nani kasema mwislamu akiolewa na mwislamu atakuwa happy.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...