Home
Unlabelled
WADAU WA GLOBU YA JAMII WAKIKA KATIKA MUZDALIFA MAKKA WAKIENDELEA NA IBADA YA HIJJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Muumba awalipe kwa kutekeleza nguzo moja wapo ya kiislamu
ReplyDeleteNomba kueleweshwa wadau. Mbona watu wanalala chini?
ReplyDeleteKulala chini jangwani MuZdalifa ni moja ya masharti ya Hijja.
ReplyDeleteBinadam aliumbwa kwa udongo utafufuliwa kutoka udongonMbele ya Allah ubora wa mtu ni kiwango cha Ucha Mungu
Kichwa cha habari kimekosewa si kukaa bali ni Kulala Muzdalifa.. Kulala chini ni sehemu ya Ibadah yenyewe sio kwamba imeshindikana kuweka vitanda bali ibadah yenyewe inataka watu walale chini.Kuna mafunzo mengi sana katika Ibadh nzima ya Hijjah na mojawapo ni hili la kulala chini ili hata milionea waone adha yakulalia mkeka na kupata mazingatio katika hilo.Hamna clasess katika Uislam si tajiri si maskini wote nguo sawa na wote mnalala sawa kama mdau ulivyoomba ufafanuzi.
ReplyDeleteMdau wa nne umeongea maneno muafaka kabisa ufafanuzi uliotowa ndio wenyewe na ndo inavyotakiwa Mungu atujalie kila lakheri
ReplyDelete