Baadhi ya wafanyakazi wa mfuko wa PSPF wakiwa kwenye Picha ya pamoja na Balozi GRACE MUJUMA (katikati) na maafisa wa Ubalozi justa Nyange mwenye sketi nyekundu!bw Jeswald Majuva mwenye tai nyekundu na bw Mogosi Munata wakati PSPF walipotembelea Ubalozi wa Tanzania Lusaka Zambia wakiwa kwenye ziara ya kimafunzo kwa wenzao wa mfuko Kama huo wa nchini hapa wa NAPSA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. TANZANIA HOUSE:

    Wajameni hiyo T mbona ipo mguu upande?

    VETA na DIT mpo wapi?,

    Tuwe na mwamko wa Uzalendo kama Watanzania, ingefaa mnaofanya Mafunzo kwa Ufundi (Field) muwe mnasafiri kwenda kwenye Balozi zetu nje mkafanya chochote huko.

    Msipo ijenga ninyi Tanzania na kuijali nani ataijenga?

    Nendeni Lusaka-Zambia kwenye Ubalozi wetu mkaokoe Jahazi kwa kuiweka T kuwa wima !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...