Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) pamoja na maofisa wa NSSF wakitembelea mradi wa Ujenzi
wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) pamoja na maofisa wa NSSF wakitembelea mradi wa nyumba
za bei nafuu eneo la Mtoni Kijichi.
Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi Karim Mattaka (wa kwanza kulia waliokaa
mezani) akitoa taarifa fupi kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii na maofisa waandamizi wa taasisi
hiyo juu ya maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...