Mratibu wa mradi wa utafiti wa miwa kutoka Uganda Dr Reddy Manuru (L
mhindi ) akichangia jambo kuhusu mradi wa utafiti wa miwa (c)Mwenye kiti
wa warsha Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania Henry
Semwanza (R) Mratibu wa mradi wa utafiti wa miwa afrika mashariki Bwana
Juhudi Chambi
Mwenyekiti wa warsha ya utafiti wa mradi wa miwa ambaye ni kaimu wa
bodi ya sukari Tanzania Bw Henry Semwanza akiteta jambo na wandaji wa
warsha (c)Mratibu wa mradi wa utafiti wa miwa afrika mashariki Bw Juhudi
Chambi (R) Dr mratibu wa utafiti wa miwa kutoka Uganda Dr Reddy Manuru .Warsha hiyo yo kimataifa imefanyika siku mbili Jijini Arusha
Baadhi ya wadau walioshiriki Warsha hiyo wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.
Michuzi kwan ngeweka jina na kusema wa kwanza shoto kungekua na tatizo gani?ukiweka neno Muhindi unaleta ubaguzi
ReplyDelete