Mhe. Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba akijibu kwa ufasaha na kwa ustadi mkubwa kabisa maswali kutoka kwa wananchi waliohudhuria Mkutano wa Maendeleo ya Nchi yetu uliofanyika DMV Jumapili Sept 29,2013
 Liz Haynes akifuatilia Mkutano kwa Makini.
 Mh. Mwigulu akifafanua jambo katika Mkutano wake na Watanzania DMV

 Mhe. Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba aliruhusu kila swali liulizwe na aliyajibu yote kwa ufasaha na kwa ustadi mkubwa hakuna mwananchi aliyerudi na dukuduku nyumbani. Pichani Kulia aliyeketi ni Msaidizi wa Rais Bw. Rajab Luhwavi

 Dada Georgina Lema akiuliza Maswali yake kwa hisia kali.SWAHILI TV TELEVISION YAKO YA KIZALENDO ILIKUWEPO KATIKA KUHAKIKISHA MATUKIO YOTE YANAWEKWA KATIKA KUMBUKUMBU MUHIMU ZA VONGOZI WETU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Si mrudi Tanzania mkafanye siasa huko.
    Mnachekesha kweli kweli..Mnajidai mnauchungu na TZ wakati mnatafuta pakuponea

    ReplyDelete
  2. Michu usinibanie,
    Namshauri Mheshimiwa aendelee na trademark yake ya bendera shingoni, hilo shati la bendera plus an extra bendera kwenye mfuko tena noma!

    ReplyDelete
  3. Je tunaweza kuona picha za wasikilizaji?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...