Home
Unlabelled
WATU 3 WAMEKAMATWA NA KIGANJA CHA MKONO WA BINADAMU MKOANI MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tumieni akili na maarifa uusaka Utajiri na sio Uchawi!
ReplyDeleteMwanza, msituaibishe Watanzania, kama mlivyoona fursa za Mapesa na Utajiri zimejaa kibao nchini Tanzania!
Mliona ktk Fiesta Twenzetu mwaka huu 2013 Waheshimiwa Mhe.Yahya Nawanda Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mhe.Januari Makamba Naibu Waziri wa Mawasiliano na Mhe.William Massele Naibu Waziri wa Nishati na Madini wakitoa michongo kibao ya Fursa zilizojaa nchini Tanzania!
Mliona Wahamiaji haramu wakibebwa na Operesheni Kimbunga huku wakija nchini kwa Michongo ya Kibwege kama Ujambazi na uuzaji wa Kahawa na Uhalifu, sasa ninyi mnakuja tumia Uchawi na viganja vya mikono kuzisaka Noti?
Ahhh zindukeni na mtumie fursa hizo!
sasa hao watastahili adhabu gani jamani mbona dunia imekwisha
ReplyDelete