Urban Pulse Creative Media, Ubalozi wa Tanzania wakishirikiana na Freddy Macha wanakuletea ziara ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alipokutana na wawekezaji jijini London tarehe 21 Octoba 2013.

Mkutano huu ulifanyika katika ukumbi wa Reform Club mtaa wa Pall Mall, London, na kuhusisha wafanyabiashara wenye shughuli za kilimo Tanzania, makampuni makubwa yanayojishughulisha bara Asia, Afrika na Uingereza, mathalan duka maarufu la Sainsburys.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...