Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dr. Fenella Mukangara akimkabidhi medali ya dhahabu na Beji Bingwa wa Dunia wa Shotokan Karate kwa uzito wa kg 55 wakati alipokuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mchezo wa huo uliofanyika mapema mwishoni mwa wiki jijini Bursa nchini Uturuki. Mashindano hayo yameshirikisha zaidi ya nchi 26 kutoka nchini za Ulaya, America, Afrika na Asia.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dr. Fenella Mukangara akiteta jambo na Rais wa Karate Duniani Prof. Antonio Martizo (kushoto) alipokuwa mgeni rasmi katika mashindano ya Dunia ya mchezo huo mapema mwishoni mwa wiki Bursa Uturuki. Ambapo zaidi ya nchi 26 kutoka nchini za Ulaya, America, Afrika na Asia.
PICHA NA - WHVUM


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...