Waziri Mkuu, Mizengo pInda na mkewe Tunu wakipata maelezo kuhusu kiwanda cha kutengeneza maligafi za viwanda vya plastiki cha Hongda Chlor alkali Chemical Base cha Chengdu nchini China akiwa katika ziara ya kikazi Oktoba 22, 2013,. Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa kampuni ya Dalian International ya China kwenye hoteli ya Shangri-la, Chengdu akiwa ktika ziara nchini China. Oktoba 22, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la Mradi wa umwagiliaji la Dujiangyan lililopo Chengdu nchini China akiwa kaika ziara nchini humo Oktoba 22,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni baada ya kutembelea mradi wa umwagiliaji wa Dujiangyan uliopo Chengdu nchini China akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 22, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...