Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Kweli hii ni stahili ya haina yake. Mbona wanamwaga chini kiasi kikubwa hivyo.

    ReplyDelete
  2. Tembea uone hata wapopo ndio staili yao tofauti na sisi wabongo unatia unga kwenye chungu au sufuria lenye maji yanayochemka jikoni, wao hufanya yote pembeni kama wafanyavyo hawa wanyasa........

    ReplyDelete
  3. Mama Joyce Banda umeona hiyo?

    Hilo 'Dona' ni saizi ya TP-MAZEMBE si mchezo!

    Nguna hiyo ni ile Alama ya Mamba aliyedaka Mpira kwa mdomo ktk hiyo Klabu ya Mpira TP MAZEMBE ya Congo-DRC.

    Tanzania na Malawi kamwe hazita pigana Vita!!!

    ReplyDelete
  4. Duuu !

    Hilo 'Bondo' si mchezo!

    ReplyDelete
  5. Neema yote hii ya Ugali ulivyo mkubwa na nyama ktk masufuria?

    Hapo ndio mtakapo thibitisha na kumkumbuka baadaye Mhe. Raisi Kikwete ya kuwa kazi ameifanya!!!

    Halafu watu ohhh sisi tupo Majuu hattutaki kuja Tanzania kuna shida!

    Ebooo, kwa saizi hiyo ya Ugali wa Kikwete Tanzania kuna shida?

    ReplyDelete
  6. hehehehehenhheeee!

    Niacheni nichekeleee mie!!!

    Mdau wa 5 ni kweli Mhe.Raisi Kikwete yupo ziarani nje ya nchi Poland wakina mama wapo huko Ziwa Nyasa wanalichapa Dona la Kikwete kwa raha zao!

    Mmeona walivyo na furaha nyusoni mwao?

    Ni wazi baba (Raisi) amesafiri yupo nje ya nchi lakini (Watoto) wananchi wanachana Dona mustarehe!!!

    Halafu Upinzani wanachonga tena hapa?

    ReplyDelete
  7. Mdau wa 5 Dona hilo la Kikwete wanalichana wengi nchini Tanzania wakiwepo Mhe.Freeman Mbowe, Mhe.Tundu Lissu, Mhe.Slaa na wengine wengi tu!!!

    ReplyDelete
  8. Ugali huo ndani ya sufuria hapo Picha ya juu na sufuria lililojaa nyama Picha ya chini, hizi ni MIONGONI MWA NEEMA KUBWA SANA ZILIZO FICHIKA ZA NDUGU YETU MPENDWA KABISA MHE.RAISI JAKAYA KIKWETE AMBAZO TUTAKUJA KUZIKUMBUKA PINDI ATAKAPO MALIZA MUDA WAKE IKULU !!!

    ReplyDelete
  9. Mhe. Raisi Kikwete amemudu kuwahakikishia Ugali mkubwa kabisa na Nyama kama mnavyoona hapo kwa wananchi hawa waliopo ukingoni mwa nchi huko Ziwa Nyasa, Mbaba Bay huko Mbinga Kilometa nyingi sana kutoka Ikulu Dari salamu alipo Makazi yake!

    Sasa ninyi mliopo Dar na Arusha mnao faidika na neema nyingi sana zaidi mtadai nini ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...