Mshambuliaji wa Ruvu Shooting ,Juma Hamisi (kushoto) akiwania mpira na
Winga wa Azam Fc,Khamis Mcha, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Chamanz i jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 3-0.
Wachezaji wa timu ya Azam Fc wakishangilia bao la
pili lililofungwa na Joseph Kimwaga dhidi ya Ruvu
Shooting katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.
Mshambuliaji wa Ruvu
Shooting ,Juma Hamisi (kushoto) akiwania mpira na Winga wa Azam Fc,Khamis Mcha,
katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara ulichezwa kwenye Uwanja wa Chamanzi
jijini Dar es Salaam.
Picha na Francis Dande
Picha na Francis Dande
Hongera sana Azam FC .... hii inaongeza ladha ya VPL msimu huu 2013/2014....na sijajua hii match ya mwisho ya kumalizia 1st round kati ya Azam FC vs Mbeya City itakuwa kuwaje huko uwanja wa Sokoine, Mbeya....nadhani itakuwa match ya burudani na ufundi mkubwa.....nani siku hiyo atakubali kutibua record yake ya kutopoteza match? - tuvute subira panapo majaaliwa tushuhudie soccer la vijana hao!
ReplyDelete