Ambassador at a Dinner with Tanzanians in MN.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani, Mrs Liberata Mulamula na Mume
wake George Mulamula Jumapili alikutana na Watanzania wanaokaa Marekani
Katika Jimbo la Minnesota.Ni balozi anayetoka ushirikiano mkubwa sana na kujali maisha na
mipango ya watanzania wenzake waliyonayo hasa katika kuendeleza nyumbani
tutokapo.
Ambassador with COSAD Partners. Dr Barr & Shattuck team
Balozi Mulamula Perming with Smart in Minnesota. Nov 3.
The Baliras. The Baitanis & Ambassador Mulamula



Ankoo ..mambo!
ReplyDeleteHivi balozi wa Ukanda huu wa korea jamani ni nani? Yaani korea kuna watanzania wengi sana wanafunzi na wafanyabiashara ila balazi hakuna ofisi wala yeye kuja kutembea hata kusalimia...kama ni wa japan na hapa sasa ndio anajificha japan tuu?hata korea kuna binadamu na umoja upo..
pole ndugu yangu, ni mabalozi wengi tu wasio na mawazo endelevu au kujali watanzania, hii ni vile nafasi zao hujazwa kwa mapenzi ya kiongozi mkuu
ReplyDeletePole mdau namba 1, Mabalozi wengi wameteuliwa ili watengeneze walau hela ya uzeeni si kuwakilisha nchi.Kwani ukiondoa Marekani na UK ,kwingine mabalozi wameuchapa "usingizi" DUNIA NI KIJIJI WAJITOKEZE KAMA WAPO NA WAJE NA MIPANGO YA KUTANGAZA NCHI.
ReplyDeleteMABALOZI WOTE MLIO CHAPA USINGIZI" AIBU KWENU"
Mh nimewaona wazee wa Minnesota. Hongera sana kwa ugeni huu. Naona mmpepata Balozi mzuri nimekumbuka enzi zangu siku nikiwatembelea mniweke kwenye blog watu wanione.
ReplyDeleteAnoni wa hapo juu kweli kabisa. Mfano huyu wa hapa Sauzi tunamwona anachangamka na kujishebedua akija JK tu. Siku zingine wala hujui kama kuna mtu hapo.
ReplyDeleteHivi mnajua kazi za Balozi na Ubalozi? Sio kuwafwata diaspora tu! Ujinga ghali kweli!!!
ReplyDeleteWe anon unayesema sisi wajinga kwa kuuliza kwanini mabalozi hawaji kuonana na watanzania nafikiri wewe ndo akili mbovu..
ReplyDeleteWatu wanauliza haki zao za msingi arafu wewe unafungua tu... basi eleza kazi za balozi
mbona kama familia tatu tu? Kuna mshikaji wangu aliniambia Minnesota ina watanzania wengi?
ReplyDelete