Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Niko uingereza naongea hata na wananchi wa Uganda wanamshangaa mzee wao kwani wanajua kabisa hakuna EA bila Tanzania.ajenda yake na mdogo wake Kagame wanaitambua sana. Spirit zao si kama za kitanzania na watajua baadae kuwa hawako kwenye msitari na liwe fundisho kwani ukishakuwa na mtu kama huyo hata akinyoosha mambo inabidi uongozane nae kwa umakini sana.Mkumbuke kuwa wao huwa wanajiona watawala dhidi ya wenzao.ka Rwanda kamesaidiwa sana leo nako eti kanajitia kansa ya jumuia hadi kinyaa.

    ReplyDelete
  2. Membe ni jembe sana la hii nchi..mie nashangaa watu oohh cjui nani ..huyu ndo rais wetu mtarajiwa hana ufisadi na yuko vizuri...hongera kwa kuongelea vizuri huu mustakali wa sintofahamu wa EAC.
    Team Membe!!!
    mdau wa UK

    ReplyDelete
  3. Tanzania Tanzania nakupenda sana, mie nipo ulaya na nina rafiki zangu wa Kenya na Uganda wote wanasema Tanzania na Rais wake inaongozwa vizuri na kisiwa cha amani sio kama nchi zao! Kwa kweli watanzania ni budi tushikamane na umoja ni nguvu...ili hao wenzetu waaibike. Waziri Membe ameongea vizuri mno! Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...